VINARA wa Ligi Kuu msimu uliopita, Yanga na Prisons, wameanza kashkash za Ligi Kuu, huku Yanga ikiwachapa washindi hao wa pili wa Ligi Kuu mabao 4-0 katika mchezo mkali kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Timu nyingine zilizoibuka na ushindi katika mechi zao za ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom ni Kagera Sugar iliyoifunga Polisi Moro mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba wakati Moro United iliitandika Azam mabao 3-2 kwenye Uwanja wa Taifa.
1 comment:
eee bwana mmewapata wazee wanne{4} bila hao ni watoto wa jangwani dar es salaam young africans sports club hizo ni salamu kwa yeyote atakayetia mguu mbele yatu ni hayo tu.by lover sniper from g2 is on top
Post a Comment