Monday, September 22, 2008
Jamani Ntaenda Wapi Mimi!!!
Mkazi wa jijini Dar es Salaam akilia baada ya nyumba yao kubomolewa, kazi ya kubomoa nyumba inaendelea huku familia sita zikiwa zimekosa sehemu ya kuishi baada ya watu wanaodai kununua nyumba ya urithi ya watoto zaidi ya 10 wa marehemu, Yussuf Mbonde iliyopo Magomeni Mwembechai, kubomoa nyumba hiyo kwa kutumia greda huku wakilindwa na vijana wa kukodi maarufu kama mabaunsa pamoja na usimamizi wa polisi waliokuwa na silaha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment