Saturday, September 13, 2008

Kenya Kujenga Nyumba 140

Serikari ya Kenya, imejiwekea mpango wa kujenga nyumba 140 kwa ajili ya wananchi wake hasa wale walio athirika na kubomolewa nyumba zao katika machafuko yaliyotokea kipindi cha uchaguzi.

No comments: