The Land Of Kilimanjaro
Hiyo ndio hali halisi ya watanzania migomo daima inawadhuru wanaoishi chini ya dola moja kwa siku. Tizama watoto wanaosoma Maria Academy hawajui kinachoendelea kabisa duniani kina msondo ngoma ndio watasota mpaka basi
Hapo masoud umeongea la ukweli kabisa hao watoto wa academy hata kuongea kiswahili kwao ni taaabu jamani utafikiri sio watanzania. Inshallah aliye juu .....Yote maisha bwana
Post a Comment
2 comments:
Hiyo ndio hali halisi ya watanzania migomo daima inawadhuru wanaoishi chini ya dola moja kwa siku.
Tizama watoto wanaosoma Maria Academy hawajui kinachoendelea kabisa duniani kina msondo ngoma ndio watasota mpaka basi
Hapo masoud umeongea la ukweli kabisa hao watoto wa academy hata kuongea kiswahili kwao ni taaabu jamani utafikiri sio watanzania. Inshallah aliye juu .....Yote maisha bwana
Post a Comment