Sunday, August 10, 2008

Bernie Mac afariki dunia



Muigizaji wa sinema kutoka marekani, afariki dunia Jumamosi asubuhi akiwa na miaka 50. Mac aliwahi kushiriki muvi mbali mbali zikiwemo za comedy pamoja na vita.

1 comment:

Anonymous said...

Bwana ametwaa na Bwana ametoa, jina la Bwana liabudiwe