Thursday, August 21, 2008

Bolt avunja record ya dunia


Usain Bolt, raia wa Jamaica, awa bingwa mpya wa mbio fupi za mita 100 duniani baada ya kutumia sekunde 19.30 na kuvunja ile iliyo wekwa na bingwa wa zamani Michael Johnson aliyetumia sekunde 19.32, Bolt ameshinda Medali ya dhahabu

Bolt akiwa aamini macho yake baada ya kuibuka mshindi

Bolt akiwa na Bendera ya nchi yake ya Jamaica akisalimiana wa wapenzi wake baada ya kushinda mbio fupi za mita 100


Usain Bolt akiwa amepoz katika picha huku bango likiwa linaonyesha rekodi mpya ya dunia iliyowekwa naye ye mwenyewe.





2 comments:

Anonymous said...

Big up Bolt

Anonymous said...

big up bolt umetuwakisha ngozi nyeusi na umeipigania nchi yako.lkn wa bongo ugoro mtupu.bora ingekuwepo big brother tungeshinda au mna semaje wadau?.by lover sniper from g2 is on top