Wednesday, September 3, 2008

Bush Ampiga jeki McCain

Rais George W. Bush wa marekani, amwagia sifa mgombea wa urais kupitia chama cha Republican.

"Huyu ndie mmarekani pekee mjasiri anayestahili urais wa Marekani, maisha yake yote yalishajionesha na kuamua kuwa anastahili na yuko tiari kuwa kiongozi wa Taifa letu" alisema Bush.

John MaCain anatarajiwa kupitihswa na chama chake Alhamisi kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia chama chake cha Republican tarehe 4 Novemba mwaka huu.

No comments: