Apo awali, wateja wa Vodacom Tz, Safaricom Ke, UTl na MTN Ug, walikuwa wanaweza kuzuru moja ya kati ya nchi hizi na kutumia namba zao za kawaida za simu (Vodacom, Safaricom, UTL na MTN) na kutumia viwango vya simu vya kawaida kama wako nyumbani, sasa hata wakiishiwa muda wa maongezi basi wanaweza kuongeza kwa kutumia vocha za ugenini.
Huduma hii inaitwa Kama Kawaida yaani One Network
-001.jpg)
No comments:
Post a Comment