Wednesday, September 10, 2008

Milioni wafanya Mtihani


Zaidi ya wanafunzi Milioni Moja leo na kesho kote nchini, wanafanya mtihani wao wa mwisho wa darasa la saba, wa kumaliza elimu ya msingi.

huku mitihani hii ikiwa imeanza, walimu mkoa wa Iringa wameulalamikia uongozi wa mkoa huo kwa kutowaandalia usafiri ulio bora kwa ajili ya kwenda kwenye Vituo vyao vya kazi.

Pichani juu inaonekana baadhi ya walimu hao waliovyokutwa wakipanda malori na pick-up kwenda maeneo ya waliyopangiwa.

No comments: