Thursday, September 18, 2008

Mapanga Shaaa

UGOMVI WA WAKULIMA NA WAFUGAJI:Bw. Joseph Boniface Taim (50) mkazi wa Kijiji cha Mboga, Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani akishonwa majeraha ya sime katika Zahanati ya Chalinze juzi baada ya kucharangwa sime na Wamasai waliokuwa wakilazimisha kulisha ng'ombe zao kwenye shamba lake.Baada ya 'kibano' hicho, Wamasai hao walilisha ng'ombe hao walioharibu mazao tofauti yaliyokuwemo shambani humo kabla ya kuondoka. Kwa mujibu wa mpigapicha wetu, mmoja wa Wamasai hao ambaye jina lake halikupatikana alikamatwa na anashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Chalinze.

No comments: