Thursday, September 18, 2008

Viongozi Wetu wa Kesho


Wanafunzi hawa walionekana wakiwa juu ya gari iliyokuwa imebeba kifusi cha mchanga, je hii si ni hatari ukitegemea jinsi magari haya yanavyopelekwaga kwa mwendo wa kasi na huwa mengi ni mabovu.

No comments: