Tuesday, September 2, 2008

Mwanawasa Kuzikwa Kesho

Aliyekuwa Rais wa Zambia Mh! Levy Mwanawasa, aliyefariki tarehe 19 Agosti, anatarajiwa kuzikwa kesho Jumatano tarehe 3 mwezi Septemba.

Marehemu Mwanawasa, ameacha mke Maureen Mwanawasa, na watoto sita, ambao ni, Miriam, Patrick, Chipokota, Matolo, Lubona na Ntembe.

Habari zaidi bofya hapa http://en.wikipedia.org/wiki/levy_mwanawasa

No comments: