Wednesday, September 3, 2008

Ushaidi unapokuwa wa "praktiko"

Shahidi wa 30 katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara, Edson Mmari, akitoa maelezo katika eneo alilodai ndipo walipoawa wafanyabiashara katikati ya Msitu wa Pande ulioko Mbezi Louis jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watu waliandamana na msafara wa Mahakama kuu, ilipohamia katika msitu wa Pande kujionea eneo ambalo wafanyabiashara wasio na hatia waliuawa na polisi kwa kudaiwa kuwa ni majambazi.

Hii ndo staili mpya ya kufikisha ujumbe kwa njia ya practical (vitendo). Watuhumiwa pia walipata nafasi ya kujitetea na kueleza yao.




No comments: