Monday, September 8, 2008

Pamoja Daima


Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom, kupitia kitengo cha Vodacom Foundation, ilikuwa ikifuturisha baadhi ya wanafunzi wa madrasa wa mikoa ya Lindi, Zanzibar, Dar-es-salaam na Tanga. Pichani ni baadhi ya wanafunzi wa shule ya madrasa ya Mawaal Islamic Centre ya Tanga.

No comments: