Sunday, September 7, 2008

Je Wajua .................

Mbwa mdogo kuliko wote duniani, ni mwenye urefu wa 15.2 cm na kutoka kwenye ncha ya mkia hadi puani ni inchi 6. Yupo largo, Florida, USA.


Mnyama mwenye mbio kuliko wote duniani, ni chui jamii ya cheatah, anaye uwezo wa kumbia maili 70 kwa lisaa

Mnyama mgumu kuliko wote duniani, yaani ngangari, ni Kifaru. Anauwezo wa kunyanyua uzito mara 850 ya uzito wake mwenyewe.

Samaki mwenye kasi kuliko wote duniani, ni Sailfish aliye na uwezo wa kuogelea kwa kasi ya maili 68 kwa li saa.


Ndege mwenye kasi kuliko wote duniani aishie aridhini, ni mbuni, ana uwezo wa kukimbia maili mpaka 45 kwa lisaa, akiwa na uzito wa 156 Kg.


Mimba za muda mrefu kuliko zote duniani, ni ya Tembo inayochukua miezi 19 hadi 22.

Mnyama mzee kuliko wote duniani, ni kobe mwenye umri wa miaka 180, aliyekuwa akitunzwa na familia moja huko Madagaska.

No comments: