Wengine walishindwa kujizuia hata kuonyesha furaha zao walipokuwa barabarani.
Hizi ndizo mojawapo ya nderemo na vifijo vilivyosikika kwa waliokuwa wanafunzi wa elimu ya msingi muda mfupi baada ya kumaliza mitihani yao hiyo.
Ngoma zilipigwa za kila aina ilimradi kila mtu kuonyesha furaha yake ya kumaliza shule ya msingi baada ya miaka saba shule.
No comments:
Post a Comment