Saturday, September 13, 2008

Pinda aenda home



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akiangalia ngoma ya kabila la wafipa kutoka katika kikundi cha cha wanawake wa Sumbawanga, alipowasili katika ziara yake wilayani Mpanda mkoa wa Rukwa.

No comments: