Septemba 11, siku ya majonzi kwa wamerekani na dunia nzima, pale minara miwili mikubwa ya biashara ilipogongwa na ndege mbili za abiria zilizotekwa na wafuasi wa kigaidi wa Al-Qaeda na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2500, kila mwaka wamerakani huadhimisha siku hii kama moja wapo ya kuwaenzi marehemu hawa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment