Wednesday, September 17, 2008

I Miss You

Mwandishi wa Habari Mwandamizi Zephania Musendo aliyekuwa akitumikia kifungo katika gereza la Mkuza mkoani Pwani akipokewa kwa furaha na mkewe Pascalia baada ya kumaliza kifungo chake jana. 

No comments: