Tuesday, September 16, 2008

Zimbabwe Mambo Msuano

Mpatanishi wa Zimbabwe, Rais Thabo Mbeki wa Afrika Kusini (kulia) akiwa na viongozi wa kisiasa wa Zimbabwe, kuanzia kushoto, Profesa Arthur Mutambara wa MDC-M, Rais Robert Mugabe wa ZANU PF, Bw. Morgan Tsvangirai wa MDC-T, muda mfupi baada ya hafla ya kusaini makubaliano ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa, jijini Harare, Zimbabwe jana.

No comments: