Mwendesha pikipiki na abiria wake wakiwa hawana kofia hali ambayo inahatarisha maisha yao kama walivyokutwa kwenye barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam jana.
Sheria za barabarani za Pikipiki, zimekuwa zikipuuzwa kutoka kana na kutofatiliwa kama zamani.Kama tujuavyo, uendeshaji wa chombo hiki, huwa ni hatari kuzingatia ukiwa hujafikia mahitaji yote yanayohusu pikipiki, hii ni kama kuvaa Kofia ya Pikipiki unapoendiendesha.
No comments:
Post a Comment