Unawajua Mbwa Mwitu
Kikundi cha vijana, maarufu kwa jina la "Mbwa Mwitu" wakiwa chini ya ulinzi katika Kituo cha Polisi Kati, Dar es Salaam baada ya kukamatwa jana. Vijana hawa wanatuhumiwa kufanya vitendo vya uhalifu katika maeneo ya Mto Kizinga na Mbagala wilayani Temeke.
No comments:
Post a Comment