licha ya kuwa karibu na wananchi wa afrika ya kusini, inaelezwa kuwa bado watanzania wanaendelea kuuwawa nchini humo.
Watanzania hawa wanauwawa kwa kupigwa risasi na hata kuchomewa mali zao yote hii ni kupinga wageni waishio nchini humo kwa kile kinachoelezwa kuwa wanawachukulia wazawa ajia zao.
No comments:
Post a Comment