Monday, November 3, 2008
Miliband na Kouchner Watinga Ikulu
Rais Jakaya Kikwete akijadili jambo na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Bw. David Miliband (kushoto) na Bernard Kouchner wa Ufaransa (katikati) wakati mawaziri hao alipomtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana kujadili pamoja na mambo mengine hali ya mapigano Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC). (Picha na Freddy Maro)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment