Wednesday, October 22, 2008

Hongera Sana Ndugu


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimpongeza na kumzawadia mwanafunzi bora katika mafunzo ya maofisa wa jeshi, Luteni Usu Israel Mwashala, wakati wa sherehe za kuwatunuku kamisheni maofisa wapya wa jeshi waliohitimu mafunzo ya mwaka mmoja katika Chuo cha Jeshi Monduli mkoani Arusha jana. 

No comments: