Monday, October 20, 2008

Maalbino Waandamana Dar

Baadhi ya washiriki wakiandamana kupinga mauaji ya Maalbino nchini, yaliyoanzia jana Shule ya Uhuru Mchanganyiko na kupokelewa na Rais Jakaya Kikwete kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete akiteta na Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino, Ernest Kimaya, baada ya kupokea maandamano ya kupinga mauaji yao yaliyofanyika jana Dar es Salaam.

No comments: